• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

NKINGA DC WATEMBELEA HALMASHAURI YA LONGIDO KUJIFUNZA.

Posted on: November 30th, 2020

Timu ya wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Nkinga  mkoani Tanga leo tarehe 30/11/2020 wametembelea Halmashauri ya Wilaya ya Longido  kujifunza jinsi Halmashauri ilivyoweza kukusanya mapato ya Mpakani kupitia ushuru wa mazao yanayovuka mpaka, Ushuru wa kuvuka mpaka wa Malori(Boarder closing fee) Ushuru wa Mifugo na ushuru wa  vyanzo  vingine.

Timu hiyo imeongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo ndugu Rashidi Gembe aliyeambatana na Afisa Biashara Bi Christina Kileo ,Afisa Mipango ndugu John na Mweka hazina ndugu Geofrey Julius.

Akiongea na ugeni huo katika eneo la mnada eworendeke Dkt Jumaa Mhina Mkurugenzi Mtendaji alisema tumewez kupandisha amapato ya serikali kuu kupitia mnada huu wa mifugo wa eworendeke  uliojengwa kwa ufadhili wa Programu ya MIVARF ambapo wizara ya Mifugo wamekusanya  wastani wa bilioni 300 na Halmashauri tumekusanya takribani  bilioni 1.2 kupitia mnada huu toka umeazishwa.

 Pia timu hiyo imeweza kutembelea  kiwanda cha kuchakata nyama kinachojengwa na mwekezaji Elia food overseas,wakiwa kiwandani hapo Dkt Mhina alisema  kiwanda hiki kimeshaanza kazi ambapo  Halmashauri inategemea kupata mapato kutokana na kodi ya huduma na ushuru wa ukaguzi wa nyama(inspection fees) na tutaweza kutekeleza Miradi yetu ya Maendeleo lakini pia serikali kuu itapata mapato  alisema Dkt Mhina.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nkinga, Ndg Rashid Mgembe amemshukuru Dkt Mhina kwa ziara yao yenye mafanikio makubwa na kusema hakika ni Wilaya ya Mpakani inayofaa kuigwa na Halmashauri  za mpakani.

 




Matangazo

  • JOIN INSTRUCTIONS FORM ONE 2021 LONGIDO DISTRICT COUNCIL December 18, 2020
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO December 18, 2020
  • MNADA WA HADHARA March 16, 2019
  • TAHADHARI May 18, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • WAFUGAJI LONGIDO WAPATIWA MAFUNZO YA UCHAKATAJI NGOZI.

    April 12, 2021
  • WATENDAJI WA KATA WAPATIWA MAFUNZO YA USAJILI MPYA WA VIKUNDI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

    March 25, 2021
  • MADIWANI LONGIDO DC WAIDHINISHA BAJETI YA BILION 25.9 MWAKA UJAO WA FEDHA 2021/2022.

    February 26, 2021
  • MH.SIMON OITESOI AIBUKA KIDEDEA KWENYE UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA HALMASHAURI.

    December 14, 2020
  • View All

Video

ASILIMIA MBILI YA MAPATO YA NDANI YAWANUFAISHA WALEMAVU LONGIDO.
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM