KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI
Kamati hii imeundwa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Halmashauri na hutekeleza majukumu yake chini ya Kanuni za Maadili ya Madiwani za Mwaka 2000
Kamati hii ni muhimu katika kujenga mahusiano mema kati ya Halmashauri, Wananchi na watendaji ili kujenga imani ya wananchi kwa viongozi wao wa umma na Halmashauri. Diwani kama kiongozi, wananchi wana haki ya kutegemea kuwa atatoa mfano wa kuigwa katika maisha yake ya kila siku na katika utekelezaji wa majukumu aliyokabidhiwa kwa mujibu wa Sheria.
Majukumu ya Kamati hii ni pamoja na
Kujenga na kudumisha imani ya wananchi kwa viongozi wao
Kuweka utaratibu mzuri wa uwazi na uwajibikaji
Kujenga mazingira bora ya kuwavutia wananchi kushiriki katika shughuli za Maendeleo
Kupunguza migongano kati ya madiwani, watendaji na wananchi
Kuweka bayana maadili yanayotegemewa kwa viongozi katika jamii ya watu
Kuibua, kukuza na kudumisha demokrasia
WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI YA MADIWANI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018
NA
|
JINA
|
KATA
|
CHAMA
|
1
|
MHE. PETER NDEREKO
|
ENGARENAIBOR - MWENYEKITI
|
CCM
|
2
|
MHE. DR STEPHEN KIRUSWA
|
MBUNGE
|
CCM
|
3
|
MHE. JAMES KUKAN
|
MATALE
|
CCM
|
4
|
MHE. WITNESS MOLLEL
|
VITI MAALUM - TINGATINGA
|
CCM
|
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM