• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Elimu ,afya na Maji

KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI

Kamati ya Elimu, Afya na Maji ni moja ya Kamati za kudumu za Halmashauri na hukutana kila Robo Mwaka isipokuwa pale penye uhitaji Maalum. Kamati hii hushughulikia masuala yote yanayohusu huduma za Elimu, Afya na Maji kwa Jamii na jitihada za Wananchi kujiletea Maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo  kushauri,kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha Wananchi hao hasa katika kutayarisha, kusimamia, kutekeleza na kutathmini mipango yao ya maendeleo .

Majukumu mengine ni;

Kuandaa mipango ya Maendeleo ya upanuzi na Ujenzi wa Hospitali, Zahanati, na Vituo vya Afya

Kuandaa mipango ya Maendeleo ya upanuzi wa Ujenzi wa Shule za Awali na Msingi na Elimu ya Watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa Mwaka 1995

Kubuni na kusimamia mbinu na mikakati mbalimbali ya uendelezaji wa Sekta ya Elimu katika Halmashauri

WAJUMBE WA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018

NA

JINA

KATA

CHAMA

1
MHE. ALAIS MUSHAO 
MUNDARARA - MWENYEKITI
CCM
2
MHE. SABORE K. MOLLOIMET
SINYA - MWENYEKITI WA HALMASHAURI
CCM
3
MHE. DR STEPHEN KIRUSWA
MBUNGE
CCM
4
MHE. MIKE P. OLE MOKORO
NOONDOTO
CCM
5
MHE. BARNABAS RAPHAEL
LONGIDO
CHADEMA
6
MHE. JOPHA KAKANYI
VITI MAALUM – ENGARENAIBOR
CCM
7
MHE. SARA OLTETIA
VITI MAALUM – MUNDARARA
CCM
8
MHE. SHONGON  MOLLEL
GELAI MERUGOI
CHADEMA
9
MHE. LEKISARISHO KISPAN
ENGIKARET
CCM

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA May 05, 2022
  • KUITWA KWENYE USAILI March 11, 2022
  • MAJINA YA WALIOTWA KAZINI March 28, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI April 20, 2022
  • View All

Habari Mpya

  • MADIWANI HALMASHAURI YA LONGIDO WAWASILISHA TAARIFA ZA KATA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA 2021..

    November 18, 2021
  • KATIBU TAWALA MKOA WA ARUSHA DKT.KIHAMIA ATEMBELEA MIRADI YA AFYA NA ELIMU LONGIDO

    November 17, 2021
  • MKUU WA WILAYA AONGEA NA WALEZI WA SHULE KUHUSU USIMAMIZI MIRADI YA PESA ZA UVIKO-19.

    November 17, 2021
  • RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE SAMIA SULUHU HASSAN AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI LONGIDO

    October 18, 2021
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM