• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

BARAZA LA MADIWANI LONGIDO LATAKA MIRADI VIPORO IKAMILISHWE KABLA YA KUANZA MIRADI MIPYA

Posted on: February 6th, 2026

NA MWANDISHI WETU, LONGIDO

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido limependekeza Mpango na Bajeti ya Halmashauri kuanzia Mwaka wa Fedha 2026/2027 kutoa kipaumbele katika ukamilishaji wa miradi viporo katika kila kijiji badala ya kuanzisha miradi mipya.

Hayo yameelezwa leo Februari 6, 2026, na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Kudhibiti UKIMWI, Mhe. Peter Lekaneti, wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli zilizotekelezwa na Kamati ya Kudumu ya Fedha, Utawala na Mipango kwa kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2025, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Thomas Ngobei.

Taarifa hiyo iliwasilishwa katika Mkutano wa Pili, Kikao cha Pili cha Baraza la Tano la Madiwani kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa J.K. Nyerere, Halmashauri ya Wilaya ya Longido.

Mhe. Lekaneti alibainisha kuwa miongoni mwa mapendekezo mengine ni kuhakikisha miradi ya umaliziaji wa ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Kamwanga pamoja na madarasa ya Shule ya Msinga Kamwanga inakamilika ifikapo Februari 26, 2026.

Aliongeza kuwa gharama za ujenzi wa miradi zibainishwe kwa kuzingatia michango na nguvu za wananchi, huku Mhandisi wa Ujenzi na wataalamu wengine wa Halmashauri wakitakiwa kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi na kutoa elimu kwa jamii juu ya utunzaji wa miradi hiyo ili iweze kuleta tija.

Katika mapendekezo mengine, Mhandisi wa Ujenzi na Mkaguzi wa Ndani wametakiwa kufanya tathmini ili kubaini mbinu zilizotumika kuwezesha ukamilishaji wa miradi katika Shule ya Msingi Sinya kwa fedha zilizotolewa, ikilinganishwa na maeneo mengine ambayo miradi haikukamilika kwa kiwango kama hicho cha fedha.

Aidha, Idara ya Elimu imetakiwa kuandaa warsha kwa ajili ya Waratibu wa Elimu, Walimu Wakuu na Wakuu wa Shule ili kujifunza mbinu za ukamilishaji wa miradi kutoka kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Sinya.

Mapendekezo mengine ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kusimamia utolewaji wa kwa wakati wa asilimia 20 ya mapato ya ndani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyotengewa fedha katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/2026. Vilevile, hoja zote za ukaguzi zinazohusu malipo yasiyo na viambatanisho pamoja na risiti za EFD zimetakiwa kujibiwa na kufungwa ifikapo Februari 6, 2026.

Kadhalika, Halmashauri imetakiwa kuweka mikakati ya kushirikiana na wadau wengine katika kufuatilia marejesho ya mikopo yenye thamani ya shilingi 309,699,302 kutoka kwenye vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu.

Pia, mikakati ya kuimarisha ukusanyaji wa mapato yatokanayo na vibali vya ujenzi imependekezwa ili kufikia lengo la kukusanya shilingi milioni 11 kwa mwaka pamoja na kudhibiti ujenzi holela.

Mhe. Lekaneti ameongeza kuwa Baraza limependekeza kuongeza makisio ya mapato katika chanzo cha upimaji ardhi kutoka shilingi milioni 5 kwa mwaka, baada ya chanzo hicho kufanikiwa kukusanya kwa asilimia 200 ya makisio hadi kufikia Disemba 2025.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 05, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE: LONGIDO YACHOCHEA UWEZESHAJI WA KIUCHUMI NA KIJAMII

    March 03, 2026
  • LOKEEN-NATRON NA WWF WATOA MAFUNZO YA UHIFADHI WA RASILIMALI MAJI LONGIDO

    February 26, 2026
  • KAMATI YA USHAURI LONGIDO YAPENDEKEZA SOKO NA STENDI KUPEWA KIPAUMBELE BAJETI YA 2026/2027

    February 20, 2026
  • DC KALLI AWATAKA WATENDAJI KUSOMA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA 2026/2027

    February 20, 2026
  • View All

Video

SHUGHULI ZA MAENDELEO ZILIZOFANYWA NA BARAZA LA MADIWANI LONGIDO KWA KIPINDI CHA DISEMBA 2025-JANUARI 2026
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: +255 272 970 793/ 94

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • toto
  • Toto 4D
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto