• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

BARAZA LAWASILISHA TAARIFA ZA KATA KWA ROBO YA NNE

Posted on: May 2nd, 2019

Wajumbe wa Baraza la madiwani  wa halmashauri ya Longido wamefanya  mkutano wa kuwasilisha taarifa za kata za robo ya nne za kuanzia mwezi Aprili mpaka Julai 2019, Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo ( Ukumbi wa Nyerere).

Mkutano huo umehudhuriwa na madiwani,Wakuu wa idara na vitengo na wadau mbalimbali kutoka halmashauri ya wilaya ya Longido.

Taarifa hizo  ziliwazilishwa katika nyanja mbalimbali za elimu, maji,afya,kilimo,mifugo na  uvuvi maendeleo ya jamii na miundombinu.

 Pia madiwani hao waliweza kuwasilisha  taarifa hizo wakiwa wameeleza mafanikio  na changamoto wanazokumbana nazo katika nyanja za elimu, kilimo, ufugaji,  utekelezaji  wa miradi ya maendeleo , utunzaji wa mazingira ,kiuchumi, afya pamoja na miundombinu hasa katika kata ya Namanga .

Hata hivyo baadhi ya changamoto zilizo bainishwa ni  pamoja na utoro, upungufu wa madarasa ,nyumba  za watumishi, mabweni, maabara, uhaba wa malisho, usafiri ,miundo mbinu za barabara, maji safi na salama, madawati,vitendea kazi kwenye ofisi za umma.

Vilevile mwakilishi wa Mkuu wa wilaya ambaye ni afisa Ndug. Taboa Nguvila  kwa niaba ya mkuu  wilaya amesema tayali serikali imekwisha tenga bajeti ya Billion 1.5 kwaajili ya ujenzi wa Chuo cha veta, na pia wako katika mchakato wa kupata maeneo ya ujenzi wa Gereza ndani ya wilaya ya Longido Miradi ambayo itasaidia kwa uakaribu kusogeza huduma za kimaendeleo kami Maji, umeme, miundombinu mizuri n.k, lakini pia kusogeza hudumakaribu za mafunzo ya Veta.

Mwenyekiti wa kikao  wakati anafunga mkutano wa baraza alisema anaomba halmashauri kufanyia kazi changamoto zilizowasilishwa na waheshimiwa madiwani wakati wanawasilisha taarifa zao na kuwasihi watumishi wote kuendelea kuziunga mkono jitihada za serikali ili washirikiane kuibadilisha Longido kwa maendeleo.

Matangazo

  • TAARIFA YA KATIBU MTENDAJI WA BARAZA LA MITIHANI TANZANIA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI UTAKAOFANYIKA TAREHE 10 NOVEMBA HADI TAREHE 20 NOVEMBA, 2025 November 06, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 05, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • DC LONGIDO AMALIZA MGOGORO WA MAJI ENGASURAI

    November 14, 2025
  • CMT YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI LONGIDO

    November 13, 2025
  • KAMATI YA LISHE YAFANYA KAKIAO CHA ROBO YA KWANZA JULAI HADI SEPTEMBA 2025/2026 LONGIDO

    October 24, 2025
  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • View All

Video

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 29 0KTOBA 2025
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: +255 272 970 793/ 94

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.