• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

DC KALLI APOKEA AGIZO LA WAZIRI SHEMDOE: ASEMA HAKUNA MWANAFUNZI ATAKAYEZUIWA KUSOMA KWA KUKOSA SARE LONGIDO

Posted on: December 31st, 2025

NA ABRAHAM NTAMBARA

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kalli, ameagiza wakuu wa shule zote wilayani humo kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayezuiwa kuanza au kuendelea na masomo kwa sababu yoyote ile, ikiwemo kukosa sare za shule, shule zitakapofunguliwa Januari 13, 2026.

Kauli hiyo ya Mhe. Kalli imekuja siku moja baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu–Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, kutoa agizo kwa Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri kuhakikisha hakuna mtoto anayezuiwa kuanza au kuendelea na masomo kwa sababu ya kukosa sare wakati shule zote nchini zitakapofunguliwa.

Mhe. Kalli ameyasema hayo leo Desemba 31, 2025, alipokuwa katika Shule ya Sekondari Kimokouwa wakati wa hitimisho la ziara ya siku mbili ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido, Mhe. Thomas Ngobei, ya kukagua maandalizi ya upokeaji wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza, Awali na Darasa la Kwanza kwa muhula wa masomo wa mwaka 2026.

Amesema kuwa amepokea rasmi agizo hilo la Waziri Prof. Shemdoe na kwamba atasimamia utekelezaji wake kwa karibu ili kuhakikisha hakuna mtoto anayekwamishwa kuanza au kuendelea na masomo pindi shule zitakapofunguliwa.

“Nimepokea agizo la Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe. Nawahakikishia wananchi kuwa hakuna mwanafunzi atakayezuiwa masomo kwa sababu ya kukosa sare. Nawaagiza walimu wakuu wasimzuie mwanafunzi yeyote kwa kigezo hicho,” amesema Mhe. Kalli.

Kutokana na agizo hilo, Mhe. Kalli amewataka wazazi na walezi kuhakikisha watoto wao wanaripoti shuleni kwa wakati shule zitakapofunguliwa ili kuanza masomo bila kuchelewa.

Katika hatua nyingine, wakati akitumia fursa ya kuuaga Mwaka 2025 na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2026, Mhe. Kalli amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Wilaya ya Longido.

Amesema kuwa fedha hizo zimetumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Elimu, Maji, Afya na Barabara. Ameongeza kuwa katika mwaka 2025, shule sita zimejengwa wilayani humo, ambapo kila shule imegharimu zaidi ya shilingi milioni 580.

Aidha, amesema Wilaya ya Longido imefanikiwa kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote, huku zaidi ya asilimia 84 ya vitongoji vikifikiwa na nishati ya umeme, hali inayochochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa wananchi wa wilaya hiyo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 05, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • LONGIDO YAANZA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE, WANUFAIKA 9,964 TASAF KUPATA BIMA BURE

    February 13, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LONGIDO LATAKA MIRADI VIPORO IKAMILISHWE KABLA YA KUANZA MIRADI MIPYA

    February 06, 2026
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA SHERIA, VIONGOZI WAHIMIZA UTII WA SHERIA

    February 04, 2026
  • TEKNOLOJIA YAONGEZA KASI YA UKUSANYAJI MAPATO LONGIDO

    February 04, 2026
  • View All

Video

SHUGHULI ZA MAENDELEO ZILIZOFANYWA NA BARAZA LA MADIWANI LONGIDO KWA KIPINDI CHA DISEMBA 2025-JANUARI 2026
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: +255 272 970 793/ 94

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • toto
  • Toto 4D
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88