• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

DC LONGIDO AWATAKA WATUMISHI WA AFYA KUWA NA LUGHA YA STAHA KWA WAGONJWA

Posted on: January 9th, 2026

NA ABRAHAM NTAMBARA, LONGIDO

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kalli, amewataka watumishi wa sekta ya afya wilayani humo kuwa na lugha ya staha na kuwahudumia wagonjwa kwa heshima na upendo wanapotoa huduma za afya.

DC Kalli ametoa kauli hiyo leo Januari 9, 2026, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Namanga baada ya kupokea malalamiko yao kuhusu baadhi ya watumishi wa afya kutokuwa na lugha nzuri wanapowahudumia wagonjwa.

Kauli hiyo imetolewa katika mwendelezo wa ziara yake ya Kata kwa Kata yenye lengo la kusikiliza na kutatua kero za wananchi, sambamba na kuwahamasisha kujiunga na Bima ya Afya kwa Wote.

“Kuanzia leo, mtumishi wa afya anayeshindwa kuwahudumia wananchi ipasavyo aandike barua ya kuacha kazi. Mtumishi yeyote mwenye lugha chafu hatumtaki,” amesema DC Kalli.

Mhe. Kalli ametoa rai kwa watumishi wa afya kuhakikisha wanawahudumia wananchi kwa upendo na weledi, huku akisisitiza kuwa vituo vyote vya kutolea huduma za afya wilayani Longido vinapaswa kufanya kazi kwa masaa 24, na wagonjwa wasikose huduma kutokana na watumishi kutokuwepo vituoni.

Aidha, ametumia fursa hiyo kumwagiza Mganga Mkuu wa Wilaya ya Longido, Dkt. Mathew Majani, kuhakikisha anawafikishia maelekezo hayo watumishi wote wa afya wilayani humo.

Kwa upande wake, Mganga Mkuu wa Wilaya, Dkt. Majani, amepokea malalamiko hayo na kuahidi kuyafanyia kazi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na zenye ubora wanaostahili.

Katika hatua nyingine, DC Kalli amesema Serikali inaendelea kufanya jitihada kubwa kutatua changamoto ya upungufu wa maji katika Kata ya Namanga.

Ameeleza kuwa mradi mkubwa wa maji wa Sinya unaendelea kutekelezwa na mkandarasi, na kwamba ndani ya miezi minne mradi huo unatarajiwa kukamilika.

Amesisitiza kuwa kukamilika kwa mradi huo kutaiwezesha Namanga kupata maji ya kutosha na ya uhakika kwa matumizi ya wananchi.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 05, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • LONGIDO YAANZA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE, WANUFAIKA 9,964 TASAF KUPATA BIMA BURE

    February 13, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LONGIDO LATAKA MIRADI VIPORO IKAMILISHWE KABLA YA KUANZA MIRADI MIPYA

    February 06, 2026
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA SHERIA, VIONGOZI WAHIMIZA UTII WA SHERIA

    February 04, 2026
  • TEKNOLOJIA YAONGEZA KASI YA UKUSANYAJI MAPATO LONGIDO

    February 04, 2026
  • View All

Video

SHUGHULI ZA MAENDELEO ZILIZOFANYWA NA BARAZA LA MADIWANI LONGIDO KWA KIPINDI CHA DISEMBA 2025-JANUARI 2026
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: +255 272 970 793/ 94

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • toto
  • Toto 4D
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88