• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

LONGIDO YAANZA UTEKELEZAJI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE, WANUFAIKA 9,964 TASAF KUPATA BIMA BURE

Posted on: February 13th, 2026

NA MWANDISHI WETU, LONGIDO

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Mhe. Salum Kalli, amezindua rasmi zoezi la usajili na utoaji wa Bima ya Afya unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa awamu ya kwanza, inayohusisha wanufaika wa Mpango wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wilayani humo.

Uzinduzi huo umefanyika Februari 12, 2026 katika Ofisi ya Kata ya Longido, ambapo DC Kalli alisema kuwa jumla ya wanufaika 9,964 waliopo kwenye mpango wa TASAF wanatarajiwa kusajiliwa ma kupatiwa bima ya afya bure, gharama zote zikiwa zimelipwa na Serikali.

Alisema kuanza kwa utoaji wa bima hiyo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, aliyotoa wakati wa kampeni, ya kuhakikisha kuwa ndani ya siku 100 za awamu mpya ya uongozi wake, kila Mtanzania anakuwa na Bima ya Afya kupitia Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote.

“Leo hapa Longido, wananchi waliopo kwenye mpango wa TASAF wanaanza kujiandikisha na kupatiwa kadi za Bima ya Afya bure. Serikali tayari imewalipia gharama zote. Nawahimiza wanufaika wote kujitokeza katika vituo vilivyotengwa ili kujiandikisha na kupata bima,” alisema DC Kalli.

Alifafanua kuwa katika awamu hii ya kwanza, zoezi la usajili na utoaji wa kadi litafanyika kwa siku tano kuanzia Februari 12, 2026, na kuwasisitiza wananchi kutumia fursa hiyo ili waweze kunufaika na huduma za afya pindi utekelezaji utakapoanza rasmi.

DC Kalli alisema lengo la Serikali ni kuhakikisha wananchi wote wanapata huduma za afya bure kupitia vituo vyote vya kutolea huduma vilivyopatiwa usajili nchini mara tu bima hiyo itakapoanza kufanya kazi kikamilifu.

Awali, Januari 23, 2026, Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, alitangaza rasmi kuanza kwa utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote kwa awamu ya kwanza, inayolenga makundi maalum yasiyo na uwezo wakiwemo wazee, watoto, wajawazito na watu wenye ulemavu, ambapo gharama zao zote zitalipiwa na Serikali.

Katika tangazo hilo, Waziri Mchengerwa pia alieleza kuwa kifurushi cha huduma muhimu kitapatikana kwa gharama ya Shilingi 150,000 kwa kaya isiyozidi watu sita chini ya skimu za Bima ya Afya.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • TAARIFA KWA UMMA November 17, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 05, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE: LONGIDO YACHOCHEA UWEZESHAJI WA KIUCHUMI NA KIJAMII

    March 03, 2026
  • LOKEEN-NATRON NA WWF WATOA MAFUNZO YA UHIFADHI WA RASILIMALI MAJI LONGIDO

    February 26, 2026
  • KAMATI YA USHAURI LONGIDO YAPENDEKEZA SOKO NA STENDI KUPEWA KIPAUMBELE BAJETI YA 2026/2027

    February 20, 2026
  • DC KALLI AWATAKA WATENDAJI KUSOMA MAPENDEKEZO YA BAJETI YA 2026/2027

    February 20, 2026
  • View All

Video

SHUGHULI ZA MAENDELEO ZILIZOFANYWA NA BARAZA LA MADIWANI LONGIDO KWA KIPINDI CHA DISEMBA 2025-JANUARI 2026
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: +255 272 970 793/ 94

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto 4D
  • Toto 4D
  • toto
  • Toto 4D
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • koi200
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • situs toto
  • dora77
  • toto slot
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77
  • situs toto