Halmashauri ya Wilaya ya Longido imepokea msaada wa viti vya walemavu 36 kutoka kampuni ya uwindaji ya Tanzania Big game safaris .
Afisa ustawi wa jamii Bi. Anna Wandwi amesema Viti hivyo vitatolewa kwa walemavu waliokwisha tambuliwa kabla kutoka kata ya Longido,Kimokouwa ,Ketumbeine na Mundarara
Aidha Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Longido Nd.Jumaa Mhina ameishukuru kampuni ya Tanzania Big Game Safari kwa msaada huo waliotoa kwa jamii.
By
Joseph Peter Mkumbwa
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM