Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Longido Bwana Daniel Chongolo ametembelea Kijiji cha Ngereyani katika kata ya Tingatinga kujionea uharibifu uliofanywa na Tembo katika mashamba ya Wananchi wa Kijiji hicho. Tembo walivamia mashamba ya wananchi na kuharibu mazao hivyo kusababisha hasara kubwa kwa wananchi jambo ambalo linaweza kusababisha njaa kali katika kijiji hicho.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: +255 272 970 793/ 94
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.