• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI AHAIDI TAA ZA BARABARANI LONGIDO.

Posted on: June 5th, 2022

Waziri wa  uchukuzi Prof.Makame Mbarawa  leo tarehe 05/06/2022 amefungia mizani ya kisasa ya Kimokouwa uliopo Wilayani Longido ambayo itatumika kupima uzito wa magari yanayofanya safari zake kati ya Tanzania na nchi jirani ya Kenya..

Mh. Waziri  amewataka wazimamizi wa mizani hiyo inayosimamiwa na Wakala wa Barabara nchini(TANROADS), Kutenda haki kwa wasafirishaji hasa wanapokuwa na makosa ya kuzidisha uzito.

'Sheria inayosimamia mizani ya Afrika Mashariki ni kali sana na ina tozo kubwa hivyo hakikisheni mizani inakuwa katika vipimo sahihi ili kuondoa mkanganyiko wa uwiano wa mizani unaojitokeza mara kwa mara" amesema Prof.Mbarawa..

Aidha ,Prof. Mbarawa amekemea vitendo vya vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watumishi wa mizani kwani athari  ya kumuandikia msafirishaji tozo ni kubwa na nyingine zainagharimu zaidi ya gharama ya gari husika.

'Angalieni namna bora ya kuelimisha kwani unakuta gharama ya tozo ni kubwa kuliko hata thamani ya gari husika na kwa mujibu sheria lazima itozwe tozo' amefafanua Prof Mbarawa. 

Waziri Mbarawa ametoa agizo kwa TANROADS  kuhakikisha wanaendelea kutoa elimu  ya mara kwa mara kwa watumishi wa mizani,wasafirishaji na madereva kuhusu sheria ya mizani pamoja na kufanya tafiti kujua tatizo la kutokuwa na uwiano sawa wa uzito wa gari kutoka mzani  mmoja hadi mwingine.

Pia Prof. Mbarawa amewahaidi Wananchi wa Wilaya ya Longido Mkoani Arusha Taa za barabarani.


Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA December 01, 2022
  • MACHAGUO KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA LONGIDO July 10, 2021
  • View All

Habari Mpya

  • SHIRIKA LA CONVOY OF HOPE(COH) LATOA MSAADA WA CHAKULA KWA KAYA ZILIZO ATHIRIKA NA UKAME LONGIDO.

    May 29, 2023
  • UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST LONGIDO

    May 09, 2023
  • PROF MKENDA ATOA MAELEKEZO MITIHANI KIDATO CHA SITA 2023.

    April 29, 2023
  • DC NG'UMBI AKABIDHI MRADI WA MBUZI 164 KWA KAYA MASKINI

    April 20, 2023
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM