Posted on: November 11th, 2019
Leo tarehe 11-11-2019 wajumbe wa Baraza la madiwani wa halmashauri ya Longido wamefanya mkutano wa kawaida katika ukumbi wa JK Nyerere ulioko Halmashauri ya wilaya ya Longido. Mkutano huo ulioongozwa ...
Posted on: October 13th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Longido Ndugu Frank James Mwaisumbe leo tarehe 17-10-2019 amezindua kampeni shirikishi ya kitaifa kwa ajili ya chanjo ya SURUA RUBELLA (MR) na POLIO YA SINDANO (IPV) katika kituo cha...
Posted on: October 16th, 2019
Leo tarehe 16/10/2019 Halmashauri ya wilaya ya Longido imeendeleza desturi yake ya kutoa Mikopo kwa makundi mbalimbali ya walemavu, wanawake na vijana ikiwa ni agizo la serikali ikitaka kila Halmashau...