Posted on: October 1st, 2019
Leo tarehe 01-10-2019 katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya Longido imefanyika sherehe ya kuhitimisha kilele cha siku ya wazee ambayo kimkoa imefanyika hapa wilayani Longido na kuhudhuriwa na mgeni r...
Posted on: October 1st, 2019
Na. Zaina Mzee.
Mheshimiwa Sabore Kennedy Molloimet ameibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa ALAT mkoa wa Arusha, Uchaguzi huo umefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa halmashauri y...
Posted on: September 23rd, 2019
Msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa jimbo la Longido Bi .Natang’aduaki Mollel Leo tarehe 23-09-2019 amefanya kikao cha pamoja na wadau mbalimbali wa uchaguzi wakiwemo wasimamizi wa ...