Posted on: May 3rd, 2019
Watoto wenye umri wa miaka 5 hadi 14 katika wilaya ya Longido wamefanikiwa kupatiwa kinga tiba ya minyoo ya Tumbo na magonjwa ya kichocho Mei 2/3, 2019
idadi ya watoto waliopata huduma hiyo n...
Posted on: May 6th, 2019
Halmashauri ya Wilaya ya Longido kupitia Idara ya Elimu sekondari imejidhatiti kuhakikisha wanafunzi watakaomaliza kidato cha sita kuendelea na elimu ya juu.
Amebainisha hayo Afisa elimu sekondari ...
Posted on: May 2nd, 2019
Dr. Mengi alizaliwa katika kijiji cha Nkuu huko Machame, Kilimanjaro, Tanzania. Baba yake Mr. Abhraham Mengi alizaliwa Marangu, Kilimanjaro, Tanzania lakini baada ya babu yake kufariki ilitokea mivuta...