Posted on: March 31st, 2018
Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Jumaa Mhina anawatakia wananchi wote na watumishi wa halmashauri ya Longido Pasaka njema ,washerehekehe kwa amani na utulivu!...
Posted on: March 25th, 2018
Wakazi wa vijiji vya Olmolog na Elerai wapata neema ya umeme wa mradi wa REA II.
Umeme huo utaunganishwa kwenye nyumba zote wanazohitaji umeme bila kuangalia aina ya nyumba ili mradi mw...
Posted on: March 23rd, 2018
Mkurugenzi Mtendaji Ndg.Jumaa Mhina atembelea na kushiriki kwenye shughuli za ujenzi katika vituo vya afya vinavyojengwa vya Engarenaibor na Eworendeke ,
Lakini pia ametoa maeleke...