Posted on: February 7th, 2018
Mkuu wa wilaya ya longido ndg. Daniel G. Chongolo amezindua rasmi bodi ya afya katika Halmashauri ya wilaya ya longido mkoani Arusha leo tarehe 07/02/2018.
Wakati akizindua ...
Posted on: February 1st, 2018
Kamati za maji za miradi ya Tabia nchi kutoka katika vijiji vya Kiserian,Orbomba,Eorendeke,na Namanga zimepatiwa mafunzo ya jinsi ya kuilinda na kuitunza miradi hiyo ili iwe endelevu na kuwaletea maen...
Posted on: January 19th, 2018
Ziara ya ukaguzi wa miradi ya inayotekelezwa chini ya miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi imefanywa na wataalam kutoka ngazi ya taifa ,mkoa ,wilaya k...