Posted on: November 22nd, 2017
Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu,Mh.Jenista Joakim Mhagama leo tarehe 22/11/2017 ametembelea mradi wa ujenzi wa mnada wa kimkakati wa mifugo katika kijiji cha Eworendeke...
Posted on: November 15th, 2017
HALMASHAURI YATOA MIKOPO KWA VIKUNDI.
Halmashauri ya wilaya ya longido Leo tarehe 15/11/2017 imetoa mkopo wa fedha za kitanzania sh.16,700,000/- kwa vikundi vinne vya kina mama na...
Posted on: November 2nd, 2017
Afisaelimu wa Mkoa wa Arusha Bwana Gift Kyande amemkabidhi mkurugenzi Mtendaji Bwana Jumaa Mhina vifaa vya wanafunzi walemavu ambavyo ni Fimbo za walemamavu(White cane) na Mashine ya maandishi kwa wal...