Posted on: August 4th, 2017
Ziara ya mkurugenzi mtendaji wa Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) katika ziara yake ya kikazi katika wilaya ya longido. Miradi aliyotembelea ni OSBP na Mradi wa ujenzi wa mnada wa Mifugo...
Posted on: July 31st, 2017
Wiki hii Halimashauri ya Wilaya ya Longido inaendesha vikao vyake vya uendeshaji ambapo imeanza na kikao cha CMT na vingine vikiendelea kwa siku tofaouti. Katika vikao hivyo mkurugenzi mtendaji Wakili...
Posted on: July 2nd, 2017
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Longido Bwana Daniel Chongolo ametembelea Kijiji cha Ngereyani katika kata ya Tingatinga kujionea uharibifu uliofanywa na Tembo katika mashamba ya Wananchi wa Kijiji hicho...