• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ongoing project

UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA

Halmashauri ya wilaya ya Longido imepokea pesa toka serikali ya awamu ya tano kiasi cha Tsh. Bilioni moja na nusu(1.5b) kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya. Halmashauri ya Longido haikuwai kuwa na hospitali ya Wilaya  mpaka mwaka huu ilipopatiwa pesa na serikali ya awamu ya tano na ujenzi kuanza mara moja,ujenzi huu bado unaendelea.

Ujenzi huo utakuwa na majengo ya saba ambayo ni 

  • Jengo la wagonjwa wan je(opd)
  • Jengo la Utawala(Administration)
  • Jengo la dawa(Pharmacy)
  • Jengo la Mionzi(Radiology)
  • Jengo la ufuaji(Laundry)
  • Jengo la maabara(Laboratory)
  • Jengo la  wazazi (Maternity)

JENGO LA WAGONJWA WA NJE.(OPD)


Jengo la wagonjwa wa nje kama linavyoonekana hapo juu ni kwamba wapo katika hatua ya mwisho ya kupanga mawe tayari kabisa kwa kuweka jamvi.


JENGO LA UTAWALA

Jengo la utawala kama linavyo onekana hapo juu tayari msingi kwa sasa wanweka kitu kinachoitwa colums ,baada ya hapo wanweka nguzo na kumwaga zege.

JENGO LA MIONZI(X- RAY)


Jengo la mionzi tayari msingi umeshachimbwa wako tayari kwa hatua nyingi ya kumwaga zege.


JENGO LA MAABARA

Jengo la maabara tayari msingi ni kwamba udongo ndio imnazawazishw ili mawe yapangwe.


JENGO LA KUFULIA(LAUNDRY)


 Jengo la kufulia kama linavyo onekana hapo juu tayari mawe yamepangwa saiv ni kumwaga jamvi tuu.


JENGO LA MAMA NA MTOTO

     


Jengo la mama na mtoto kama inavoonekana hapo juu tayari mawe yameshapangwa na tayaripia kwa kumwaga jamvi.


JENGO LA MADAWA (PHARMACY)

Jengo la madawa kama inavyoonekana hapo juu ni kwamba ndio linanyuliwa sasa.











Matangazo

  • MATOKEO KIDATO CHA NNE 2022 January 29, 2023
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA December 01, 2022
  • MACHAGUO KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO KIDATO CHA SITA LONGIDO July 10, 2021
  • View All

Habari Mpya

  • KAMATI YA SIASA YA MKOA YATUA LONGIDO

    March 23, 2023
  • MGAO WA PIKIPIKI KWA WATENDAJI WA KATA LONGIDO

    March 11, 2023
  • ZIARA YA NAIBU WAZIRI WILAYANI LONGIDO

    March 06, 2023
  • MDIWANI WAWASILISHA TAARIFA ZA ROBO YA PILI .

    February 01, 2023
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM